Deutsch Warum Nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 6:00:10
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.
Episódios
-
Somo 06 – Unafanya kitu gani?
17/03/2009 Duração: 13minDr. Thürmann anashangazwa na adabu za Andreas... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa kitendo (I)
-
Somo 05 – Hiyo (kabisa) si heshima!
17/03/2009 Duração: 12minEx anamwingiza Andreas matatani... Muhtasari wa sarufi: Kijineno doch
-
Somo 04 – Na wewe nani tafadhali?
17/03/2009 Duração: 13minDr. Thürmann anawasili Hotel Europa Muhtasari wa sarufi: Aina nyingine za kitendo kisaidizi sein.
-
Somo 03 – Hotel Europa
17/03/2009 Duração: 13minAndreas, Hanna, Frau Berger – wahusika wanajijulisha... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa kitendo kisaidizi sein (II)
-
Somo 02 – Teksi!
17/03/2009 Duração: 13minAachen. Bwana mmoja mwenye umri wa makamo anaita teksi. Anataka kwenda ‚Hotel Europa‘... Muhtasari wa sarufi: Namna za kuamkiana
-
Somo 01 – Huu (huo) ni wimbo.
17/03/2009 Duração: 12minSomo la mwanzo... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa kitendo kisaidizi sein (I)