Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 107:16:35
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Taarifa ya Habari 26 Januari 2024
26/01/2024 Duração: 18minMaelfu ya watu wame jumuika katika sherehe nchini kote zaku adhimisha siku kuu ya Australia. Makundi ya watu wengi yalijumuika katika fukwe ya Bondi mjini Sydney kwa ibada ya alfajiri pamoja na sherehe ya moshi, wakati mjini Melbourne watu wali hudhuria ibada ya alfajiri ya siku ya uvamizi.
-
Halmashauri za jiji 81 zafuta sherehe za viapo vya uraia katika siku kuu ya Australia
26/01/2024 Duração: 08minTakriban halmashauri za jiji 80 kote nchini Australia, zime amua kubadili tarehe ya sherehe za kila mwaka za viapo vya uraia kutoka Januari 26.
-
Djay Daffy aweka wazi sababu za kuacha chuo
24/01/2024 Duração: 15minSekta ya burudani nchini Kenya, ina endelea kushuhudia ujio wa vijana wenye vipaji vya kila aina.
-
Taarifa ya Habari 23 Januari 2024
23/01/2024 Duração: 24minKuna taarifa serikali ya shirikisho inazingatia uwezekano wakurekebisha mpango wake wa awamu ya tatu ya makato ya kodi, muswada huo utakapo wasilishwa mbele ya baraza la mawaziri hii leo.
-
How to become a First Nations advocate - Jinsi yakuwa Mtetezi wa waAustralia wa Kwanza
23/01/2024 Duração: 06minFirst Nations advocates help amplify the voices of Indigenous communities in Australia. Here are some aspects to consider related to advocacy and “allyship” with First Nations communities. - Watetezi wa waAustralia wa Kwanza husaidia kupaza sauti za jumuiya zawa Australia wa kwanza. Hapa kuna baadhi ya vitu vya kuzingatia kuhusiana na utetezi na “ushirika” na jumuiya zawa Australia wa Kwanza.
-
Taarifa ya Habari 19 Januari 2024
19/01/2024 Duração: 20minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ina ahidi kutimiza awamu ya tatu ya makato ya kodi, ambako wafanyakazi watapata makato ya kodi kwa mishahara yao binafsi kuanzia Julai 1.
-
Maandamano ya upizani DRC yatishia kuapishwa kwa Rais Tshisekedi
19/01/2024 Duração: 07minWawili kati ya wagombea wakuu wa upinzani kwenye uchaguzi wa Disemba mwaka jana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wameitisha maandamano Jumamosi wakati wa kuapishwa kwa Rais Felix Tshisekedi kuongoza muhala wa pili.
-
Wazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe?
18/01/2024 Duração: 12minIwapo mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, iwapo ilitokea hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.
-
Taarifa ya Habari 16 Januari 2024
16/01/2024 Duração: 20minWakaaji wa Magharibi Australia wame hamasishwa wapitie upya mipango yao ya moto wa vichaka, nyumba mbili zikiwa zimepotezwa kwa mioto inayo kabili eneo la kaskazini mashariki ya mji wa Perth.
-
Mwongozo wako wakubaki salama nakupata baridi wakati wa majira ya joto ya Australia
16/01/2024 Duração: 11minMsimu wa majira ya joto, hu ahidi anga iliyo wazi na hali ya hewa ya joto. Kwa watu wengi, ni geuzi linalo karibishwa baada ya kuvumilia miezi ya baridi.
-
Taarifa ya Habari 12 Januari 2024
12/01/2024 Duração: 18minShirika la Human Rights Watch, limesema Australia imefeli kuchukua hatua thabiti kwa ajili yaku shughulikia swala la haki za binadam nchini China.
-
Wanafunzi wakimataifa walengwa wakuu wa mageuzi ya uhamiaji nchini Australia
12/01/2024 Duração: 10minSerikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa kwa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba 2023.
-
Kila kitu una stahili jua kuhusu Boxing Day nchini Australia
25/12/2023 Duração: 11minSiku ya Boxing Day nchini Australia, ni mchanganyiko wakipekee wa umuhimu wa utamaduni na biashara.
-
Krismasi huwaje nchini Australia
23/12/2023 Duração: 08minKama huwa hau sherehekei Krismasi, unaweza shangaa kuona mtu anaye vaa mavazi ya Santa akitereza juu ya maji katika mwezi wa Disemba.
-
Taarifa ya Habari 22 Disemba 2023
22/12/2023 Duração: 16minMsaada wa kifedha wa ziada una tumwa kwa watu walio athiriwa kwa marufiko, wakati juhudi kubwa ya usafi ina anza katika ukanda wa Kaskazini Queensland.
-
Kanda ya Kaskazini Queensland yaanza mchakato wakufanya usafi baada ya kukumbwa kwa mafuriko
22/12/2023 Duração: 07minKiwango cha uharibifu ambao ume achwa nyuma na Kimbunga Jasper, kimeanza onekana pole pole katika kanda ya Kaskazini ya Queensland, ambako wakulima wanasema wamepoteza mazao yenye thamani ya miezi kadhaa.
-
Germain "sita ishi Kinshasa niki shinda uchaguzi, nita ishi na walio nichagua"
19/12/2023 Duração: 16minWagombea wa nyadhifa mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wame maliza kampeni zao, sasa wanasubiri hukumu ya wananchi.
-
Taarifa ya Habari 19 Disemba 2023
19/12/2023 Duração: 18minMvua kubwa na kali ambayo imegonga eneo la Kaskazini Queensland ina anza kupungua ukali ila, ofisi ya utabiri wa hewa imesema onyo za mafuriko bado zina endelea kutumika.
-
Mamba anaswa ndani ya maji ya mafuriko Kaskazini Queensland
19/12/2023 Duração: 07minMamlaka wame pata mamba wa maji ya chumvi mwenye urefu wa 2.5m, ndani ya mji wa Ingham ambao uko Kaskazini Queensland baada ya mto wa eneo hilo kufurika.
-
Taarifa ya Habari 18 Disemba 2023
18/12/2023 Duração: 07minBaadhi ya wakaaji katika eneo la Kaskazini Queensland wamelazimika kupanda juu ya paa za nyumba zao, wakisubiri kuokolewa, wakati mvua nzito iliyo sababishwa na kimbunga chaki tropiki Jasper inasababisha mafuriko katika kanda hiyo.